• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaheshimu matokeo ya uchaguzi wa urais wa Kenya

    (GMT+08:00) 2017-10-31 19:11:13

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, China inaheshimu chaguo la watu wa Kenya.

    Bi Hua amesema hayo wakati akizungumzia ushindi wa rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa urais uliofanywa tena nchini Kenya.

    Bi Hua amesema, China ikiwa rafiki, mwenzi na ndugu wa Kenya, inaheshimu chaguo la watu wa Kenya, huku ikizitaka pande husika za nchi hiyo kujizuia na kutatua migongano, ili kuhakikisha amani na utulivu wa taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako