• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi: Katie Taylor anatarajia kupanda ulingoni Desemba 15

    (GMT+08:00) 2017-11-01 08:23:34
    Bingwa mpya wa dunia wa mkanda wa WBA Katie Taylor anatarajiwa kutetea taji hilo la uzito wa kati Desemba 15 nchini Uingereza.

    Taylor mwenye miaka 31 hakutarajiwa kupigana tena mpaka mwakani baada ya kushinda pambano lake dhidi ya Anahi Sanchez siku ya Jumamosi ambapo alipata jeraha dogo.

    Jeraha hilo linakaribia kupona na Taylor atarejea uwanjani licha ya kwamba hadi sasa bado haijawekwa wazi atapambana na bondia gani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako