• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria latwaa eneo kubwa zaidi la Deir al-Zour kutoka kwa IS

    (GMT+08:00) 2017-11-01 09:00:49

    Jeshi la Syria na wapiganaji washirika wake wametwaa maeneo matatu kutoka kwa kundi la Islamic State katika mji mkuu wa mkoa wa mashariki wa Deir al-Zour. Shirika la habari la Syria SANA limesema jeshi la Syria limesonga mbele kwenye mapambano dhidi ya IS mjini Deir al-Zour na vitongoji vyake vya kusini, huku vikosi vya SDF vinavyoungwa mkono na Marekani vikipambana na kundi hilo kwenye vitongoji vya kaskazini na kaskazini mashariki vya mji huo. Kwa mujibu wa Shirika la uangalizi wa haki za binadamu la Syria, wapiganaji 124 wa IS wameuawa katika wiki iliyopita kwenye mapambano na jeshi la Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako