• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu nane wamefariki baada ya lori kuwaparamia watu mjini New York

  (GMT+08:00) 2017-11-01 09:09:59

  Watu nane wamefariki dunia baada ya lori kuwaparamia waenda kwa miguu karibu na kituo cha biashara cha kimataifa katikati ya mji wa New York.

  Taarifa iliyotolewa na meya wa mji wa New York Bw Bill de Blaiso imesema taarifa za awali zinaonyesha kuwa tukio hilo ni la kigaidi. Mwanaume mmoja aliyekuwa akiendesha lori la kukodi muda wa mchana kwa saa za New York, aliingia kwenye upande wa waenda kwa miguu na waendesha baiskeli na kuwaparamia watu kadhaa, na baada ya kugonga gari la shule na kuwajeruhi watu wawili na wanafunzi wawili.

  Baada ya kushuka kwenye gari polisi walimpiga risasi na baadaye akapelekwa hospitali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako