• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iraq kufanya uchaguzi wa bunge Mei 15 mwakani

    (GMT+08:00) 2017-11-01 09:36:29

    Serikali ya Iraq imetangaza kuwa uchaguzi wa bunge la nchi hiyo utafanyika tarehe 15 mwezi Mei mwaka kesho.

    Taarifa iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu ya Iraq inasema, serikali itaweka mazingira ya usalama kwa ajili ya uchaguzi huo, ili raia waliokimbia vita waweze kurudi nyumbani makwao.

    Taarifa pia inasema, vyama vya siasa vitakavyoshiriki kwenye uchaguzi huo haviruhusiwi kuwa na makundi ya kijeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako