• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zimbabwe asisitiza tena kuunga mkono adhabu ya kifo

    (GMT+08:00) 2017-11-02 08:55:08

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesisitiza tena kuunga mkono adhabu ya kifo, kufuatia kuongezeka kwa mauaji nchini humo. Rais Mugabe amelaani kuongezeka kwa matukio ya ubakaji na mauaji, na kutoa wito kwa wananchi kuthamini maisha ya binadamu. Wito huo umetolewa baada ya mauaji ya sista wa kanisa katoliki yaliyotokea hivi karibuni katika jimbo la Mashonaland Mashariki. Katiba ya Zimbabwe inaruhusu adhabu ya kifo kwa wahalifu wanaume wa mauaji wenye umri kati ya miaka 18 hadi 70, lakini Serikali ya nchi hiyo haijatekeleza adhabu hiyo tangu mwaka 2005.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako