• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wanane wauawa katika shambulizi la mabomu mashariki mwa Afghanistan

    (GMT+08:00) 2017-11-02 08:55:26

    Watu wanane wameuawa na wengine 25 wamejeruhiwa kwenye shambulizi la mabomu lililotokea jana usiku katika mkoa wa Parwan, mashariki mwa nchi hiyo. Habari zinasema basi walilokuwa wakisafiria wahanga hao liliwaka moto wakati likipita lori la mafuta lililoshambuliwa kwa mabomu na kulipuka. Majeruhi wamekimbizwa hospitali. Hadi sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuwajibika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako