• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idara ya haki ya kunakili ya China yafanya operesheni maalumu ya "Mtandao wa Upanga 2017"

    (GMT+08:00) 2017-11-02 19:12:59

    Idara ya haki ya kunakili ya China imepata mafanikio katika operesheni ya "Mtandao wa Upanga 2017" ya kupambana na wizi wa haki za kunakili.

    Hadi kufikia mwezi Julai, idara hiyo imekagua tovuti mbalimbali mara elfu 55, kufunga tovuti 1,655 zinazokiuka haki za kunakili, kufuta anuani laki 2.74 za tovuti za wizi wa haki za kunakili na kukamata bidhaa milioni 1.51 zinazokiuka haki za kunakili.

    Wakati huohuo, idara hiyo imefungua kesi 314za ukiukaji wa haki kwenye mtandao wa Internet, huku ikishirikiana na idara za polisi kuchunguza kesi 37 za uhalifu zinaohusiana na dola zaidi ya milioni 10 za kimarekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako