• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria latwaa mji mkuu wa Deir al-Zour kutoka kwa kundi la IS

    (GMT+08:00) 2017-11-03 18:36:58

    Jeshi la Syria limetwaa mji mkuu wa mkoa wa Deir al-Zour ulioko mashariki mwa nchi hiyo kutoka kwa kundi la IS.

    Jeshi hilo limepata udhibiti wa mji huo baada ya askari na wapiganaji rafiki kutwaa makazi ya Huwaikah ambayo ni eneo la mwisho lililokuwa linadhibitiwa na kundi hilo.

    Ofisa mmoja wa serikali amesema ingawa nchi hiyo inaathiriwa na vita, kwa sasa msukosuko wa nafaka haupo nchini humo.

    Ameongeza kuwa akiba ya ngano ikiwa nafaka muhimu nchini Syria, inaweza kutosheleza mahitaji ya ndani ya miezi saba, huku akiba ya sukari inaweza kutosheleza mahitaji ya miaka miwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako