• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China kuhudhuria mikutano na kufanya ziara Ufilipino

    (GMT+08:00) 2017-11-05 16:50:28

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atahudhuria mkutano wa 20 wa viongozi wa China na jumuiya ya nchi za kusini mashariki mwa Asia, ASEAN kuanzia tarehe 12 hadi 16 mwezi huu mjini Manila, Ufilipino.

    Hayo yametangazwa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying, ambaye ameeleza kuwa ziara hiyo imetokana na mwaliko wa mwenyekiti wa zamu wa Jumuiya ya ASEAN na rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino. Bw. Li pia atahudhuria mkutano wa viongozi wa ASEAN na nchi tatu za China, Japan na Korea Kusini, mkutano wa 12 wa kilele wa Asia Mashariki, na pia kufanya ziara nchini Ufilipino.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako