• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka la ufukweni: Tanzania yashika nafasi ya 12 Afrika viwango vya FIFA

    (GMT+08:00) 2017-11-06 08:18:02
    Tanzania imeng'aa katika soka la ufukweni baada ya shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu (FIFA) kuitangaza kushika nafasi ya 12 kwenye viwango vya mchezo huo katika bara la Afrika.

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya FIFA, Tanzania inashika nafasi ya 86 duniani, huku nchi zingine za Afrika zilizoipita Tanzania ni Senegal, Nigeria, Misri, Morocco, Madagascar, Ivory Coast, Ghana, Libya, Msumbiji, Cape Verde na Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako