• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Mapinduzi 2018: timu 10 zitakazoshiriki zatajwa

    (GMT+08:00) 2017-11-06 08:18:36
    Kamati ya mashindano ya kombe la Mapinduzi imetaja timu zitakazoshiriki michuano ya mwaka huu 2018 itakayofanyika visiwani Zanzibar.

    Akizitaja timu zitakazoshiriki mwenyekiti wa kamati hiyo, Khamis Salim amesema ni jku, Zimamoto, Taifa Jang'ombe na Mlandege zote za Unguja, huku Jamhuri na Shaba fc kutoka Pemba.

    Aidha, mwenyekiti huyo ameeleza kuwa, timu zingine zitakazoshiriki ni mabingwa watetezi Azam fc, Simba na Yanga kutoka Bara zitakazoungana na moja kutoka Kenya au Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako