• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha: Azmeraw Bekele ashinda Hangzhou Marathon

    (GMT+08:00) 2017-11-06 08:58:54

    Mwanariadha Azmeraw kutoka Ethiopia ametwaa ubingwa wa mbio ndefu za Hangzhou zilizomalizika jana nchini China.

    Katika mbio hizo, nafasi ya pili imetwaliwa na Samueli Theuri wa Kenya na nafasi ya tatu ikishikiliwa na Abdi Futa wa Ethiopia.

    Kwa upande wa wanawake, Muluhabt Tsega aliyevunja rekodi iliyowekwa mwaka 2016 ya saa 2:31:21 ambapo yeye ametumia saa 2:28:08.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako