• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la Hamas laapa kuirejesha miili ya wanajeshi wake waliouwawa na majeshi ya Israel katika Ukanda wa Gaza.

    (GMT+08:00) 2017-11-06 09:16:20

    Kundi la Hamas limesema litarejesha miili ya wanajeshi wake waliouwawa na majeshi ya Israel katika Ukanda wa Gaza. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Hamas kwa njia ya mtandao, imeeleza kuwa kupitia vikundi vinavyounda jeshi la wapiganaji wa Jihad vikiwemo Saraya, vitatafuta namna ya kuisaka miili hiyo na hatimaye kuirejesha Palestina.

    Msemaji huyo bwana Hazem Qasem amesema, kwa kuwa vitendo vya Israel kuwapiga wanajeshi wa Palestina havivumiliki hivyo, majeshi ya Hamas yatahakikisha yanalipiza kisasi .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako