• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CAF: Kamati ya Maendeleo ya soka kufanya mkutano wa Tathmini leo

    (GMT+08:00) 2017-11-07 09:05:02
    Kamati teule ya Maendeleo ya soka ya CAF inatarajiwa kufanya mkutano wake wa kwanza wa tathmini katika makao makuu ya CAF huko Cairo, Misri.

    Miongoni mwa mambo yatakayoangaziwa ni pamoja kupitia upya majukumu ya wakurugenzi wa ufundi na mfumo mzima wa utoaji leseni.

    Jambo lingine litakalojadiliwa katika kikao hicho kitakachoongozwa na mjumbe wa kamati kuu ya utendaji ya CAF Kalusha Bwalya ni mahusiano ya CAF na mashirikisho mengine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako