• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbio za Marekani 2017: Kenya na Marekani wanyakua ubingwa.

    (GMT+08:00) 2017-11-07 09:05:37

    Wanariadha Shalane Flanagan wa Marekani na Geofrey Kamworor toka Kenya, wamechukua ubingwa wa mbio za New York City zilizofanyika nchini Marekani.

    Akiwa ni Muamerika wa kwanza kushinda mbio hizo tangu Miki Gorman, Flanagan mwenye umri wa miaka 36 ametumia 2:26:53 na kuwaacha wapinzani wake kwa karibu katika kilomita 5 za mwisho.

    Kwamoror kwa mara nyingine amedhihirisha umakini wake baada ya kushinda mbio hizo za kilomita 42 huku akitumia 2:10:53. Nafasi ya 3 ilichukuliwa na Mkenya mwingine Wilson Kipsang.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako