• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • David Moyes kuajiriwa na West ham United.

  (GMT+08:00) 2017-11-07 09:18:20

  Wamiliki wa Klabu ya Everton wanafanya mazungumzo na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Sam Allardyce ikiwa ni mikakati ya kuziba nafasi iliyoachwa wazi Ronald Koeman aliyefungashiwa virago mwezi uliopita.

  Wakati huo huo, Klabu ya West Ham inatarajiwa kumtangaza David Moyes kuwa kocha wake mpya baada ya kumwachisha kazi Slaven Bilic wa Croatia.

  Moyes amewahi kuvifundisha vilabu kadhaa vya nchini Uingereza vikiwemo Everton na Manchester United.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako