• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Sudan Kusini yakanusha taarifa za waasi kuushikilia mji wa Kajo Keji

    (GMT+08:00) 2017-11-07 10:41:58

    Msemaji wa chama tawala cha Sudan Kusini cha SPLA, Bw. Lul Ruai Kaong, amesema jeshi la serikali bado linadhibiti mji wa Kajo Keji, na amekanusha taarifa kuwa mji huo unashikiliwa na waasi wanaomuunga mkono aliyekuwa makamu wa Rais wa nchi hiyo Bw Riek Machar. Hata hivyo Bw Kaong amekiri kuwa mapambano yamezuka katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo, ikiwemo mjini Ombachi katika Jimbo la Yei, na mapigano makali ya hivi karibuni katika mji wa kusini magharibi wa Bamure ambako wanajeshi watatu wa serikali walijeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako