• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Trump wa Marekani aanza ziara nchini China

  (GMT+08:00) 2017-11-08 15:06:58

  Donald Trump wa Marekani l amewasili mjini Beijing na kuanza ziara yake ya kitaifa nchini China.

  Hii ni ziara ya kwanza kwa rais Trump nchini China tangu alipoapishwa kuwa rais wa Marekani, pia ni ziara ya kwanza ya kitaifa nchini China baada ya kufungwa kwa Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China. Licha ya shughuli za kitaifa, marais wa China na Marekani wanatarajiwa kufanya mazungumzo.

  Wakati wa ziara hiyo, maraia hao wawili watajadili masuala muhimu yanayofuatiliwa na nchi zao, na kutarajiwa kufikia maoni mapya ya pamoja, kuzidisha maelewano na urafiki, kuhimiza mawasiliano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili kwenye sekta mbalimbali, ili kusonga mbele uhusiano kati ya China na Marekani katika zama mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako