• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasema ushirikiano kati ya nchi za BRICS na nchi za Afrika unaendana na maslahi yao ya pamoja

    (GMT+08:00) 2017-11-10 20:03:58

    Mjumbe maalumu wa serikali ya China kuhusu mambo ya Afrika Bi. Xu Jinghu jana alipohudhuria mkutano wa kimataifa wa MEDAYS amesema, ushirikiano uliopo kati ya nchi za BRICS na nchi za Afrika unaendana na maslahi yao ya pamoja, na mustakbali wa ushirikiano huo ni mzuri sana.

    Bi. Xu amesema nchi za BRICS na nchi za Afrika zote ni nguvu muhimu ya kuhimiza ongezeko la uchumi wa dunia, na zote zinatafuta njia za kujiendeleza zinazoendana na hali halisi za nchi zao, pia zinakabiliana na majukumu ya maendeleo na changamoto za pamoja, na kufanya juhudi ili kujenga utaratibu wa kimataifa wa haki zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako