• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UN asisitiza kuchukua hatua halisi zaidi kwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

    (GMT+08:00) 2017-11-11 17:32:22

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. António Guterres siku ya jana kabla ya kwenda kuhudhuria mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Umoja wa Mataifa alisisitiza na kuitaka jumuiya ya kimataifa ichukue hatua halisi zaidi kwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

    Bw. Guterres amesisitiza kupunguza utoaji wa hewa inayoweza kuongeza joto duniani kwa asilimia 2.5 zaidi kabla ya mwaka 2020. Pia alisisitiza kutekeleza ahadi ya kutoa dola za kimarekani bilioni 100 kwa nchi zinazoendelea kila mwaka, na kuzisaidia nchi ambazo ni rahisi kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa kuinuka uwezo wa kukabiliana na changamoto hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako