• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kutazama televisheni kwa muda mrefu kuweza kuongeza hatari ya kuganda kwa damu kwenye mishipa

    (GMT+08:00) 2017-11-13 09:01:05

    Matokeo ya utafiti yaliyotokea Jumamosi kwenye mikutano ya kisayansi ya Shirikisho la moyo la Marekani AHA iliyofanyika California, Marekani yanaonesha kuwa kuongezeka kwa muda wa kutazama televisheni kunaweza kuongeza hatari ya kuganda kwa damu kwenye mishipa, hata kama watu wakishiriki kwenye mazoezi ya viungo kama inavyopendekezwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako