• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi awataka wabunge wa China na Vietnam kuimarisha kiwango cha ushirikiano

  (GMT+08:00) 2017-11-13 09:51:15

  Rais Xi Jinping wa China ametoa wito kwa wabunge wa China na Vietnam kuimarisha mawasiliano na ushirikiano kwa pande zote.

  Rais Xi amesema hayo wakati alipokutana na mwenyekiti wa Bunge la Vietnam Bi. Nguyen Thi Kim Ngan.

  Katika mazungumzo yao Rais Xi alizungumzia zaidi ushirikiano wa kirafiki kati ya bunge la umma la China na Bunge la Vietnam. Pia ametoa wito kwa wabunge wa nchi hizo mbili kuimarisha mawasiliano, kuzidi kupeana uzoefu kuhusu utawala na usimamizi wa sheria, na kukuza maelewano kati ya watu wa nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako