• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya ubingwa Afrika, Kikapu Wanawake

  (GMT+08:00) 2017-11-14 10:18:33
  Timu ya kikapu ya mamlaka ya bandari ya Kenya leo itakuwa uwanjani mjini Luanda nchini Angola kucheza na timu ya DCMP kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mashindano ya klabu bingwa Afrika kwa wanawake.

  Katika mechi yake ya kwanza ya kundi B iliyofanyika jumapili KPA walifungwa na bingwa mtetezi wa mashindano hayo Primero De Agosto kwa pointi 75-43.

  DCMP nao wanaingia kwenye mechi hiyo wakiwa na kumbukumbu ya kufungwa pointi 67-38 na Ferravierio De Maputo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako