• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kikapu Marekani, OKC waifunga Dallas Mavericks

  (GMT+08:00) 2017-11-14 10:18:58
  Timu ya Oklahoma City Thunders usiku wa kuamkia leo imewafunga Dallas Mavericks kwa pointi 112-99 katika mechi ya ligi ya kikapu nchini kanda ya Magharibi iliyofanyika Texas..

  Mchezaji bora wa ligi hiyo msimu uliopita Russell Westbrook na Paul George ndiyo walikuwa miiba mikali kwa wapinzani ambapo kwa pamoja walijipatia jumla ya pointi pointi 64.

  Jitihada za nyota wa Dallas Harrison Barnes na Dennis Smith ambao walijikusanyia alama 57 hazikuiokoa timu yao dhidi ya kipigo hicho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako