• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachezaji waliokamata na kuachiwa China washukuru

    (GMT+08:00) 2017-11-16 09:56:37

    Wachezaji wa timu ya kikapu ya Chuo Kikuu cha Carlifonia, LiAngelo Ball, Jalen Hill na Cody Riley wamejitokeza mbele za waandishi wa habari kuishukuru Serikali ya marekani kwa hatua ilizochukua, ikiongozwa na Rais Donald Trump, ili kuwaokoa kuwaokoa na kifungo cha miaka kumi jela kila mmoja nchini China walipokamatwa kwa wizi katika duka moja walipokuwa kwenye ziara ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi mjini Hangzhou.

    Shukrani hizo wamezitoa ikiwa ni muda mfupi baada ya Rais Trump kunukuliwa kwenye mtandao wake wa kijamii kuwa anastahili shukrani kufuatia juhudi zake binafsi za kuzungumza na Rais Xi Jinping wa China ili kuwaondoa kizuizini.

    Pamoja na kuachiliwa huko, na kurejea marekani jana jumanne, watatu hao wamezuiliwa kusafiri na timu huku uongozi wa chuo cha carlifonia ukisubiriwa kutoa tamko dhidi ya kitendo cha wizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako