• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China na rais wa Ufilipino wakutana kwa pamoja na waandishi wa habari

    (GMT+08:00) 2017-11-16 13:58:07

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang na rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino jana mchana kwenye Ikulu ya rais wamekutana kwa pamoja waandishi wa habari.

    Wakati wa mazungumzo hayo, Bw. Li Keqiang amesisitiza kuwa China inapenda kuratibu mkakati wa maendeleo kati yake na Ufilipino, kushiriki katika ujenzi wa miundo mbinu nchini Ufilipino, kujadili mipango ya ushirikiano ya miaka 5 hadi 10, ili kuonesha ishara wazi kuwa uhusiano kati ya China na Ufilipino unapata maendeleo kwa hatua madhubuti kwa nchi hizo mbili na jumuiya ya kimataifa.

    Rais Duterte ameeleza kuwa Ufilipino inapenda kuzidi kuimarisha mawasiliano na ushirikiano na China katika sekta mbalimbali, kuendelea kuwanufaisha pande zote mbili kwa njia ya ushirikiano wa kuheshimiana, ili kuchangia katika utulivu na maendeleo ya kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako