• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wabunge wa kaunti ya Lamu nchini Kenya wahimiza kunufaika kwa pamoja katika miradi ya miundombinu

    (GMT+08:00) 2017-11-17 09:07:14

    Wabunge wa kaunti ya Lamu nchini Kenya ambayo eneo lake moja limeorodheshwa na UNESCO kuwa urithi wa dunia, wametoa wito wa kuweka sheria ili kuhakikisha jamii za huko zinanufaika na miradi ya miundombinu na nishati. Taarifa iliyotolewa na wabunge hao mjini Nairobi inasema taratibu husika zinatakiwa kuwekwa kuhakikisha wakazi wa Lamu wananufaika na mradi wa ushoroba wa uchukuzi kutoka Lamu hadi Ethiopia kupitia Sudan kusini, na mradi wa kituo cha umeme.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako