• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya soka Afrika Mashariki na Kati

    (GMT+08:00) 2017-11-17 10:06:17
    Wenyeji Kenya (Harambe Stars),Zanzibar (Znz Heroes), Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Rwanda (Amavubi), na timu waalikwa Libya (Mashujaa wa Mediterania) wamepangwa kundi moja katika michuano ya kombe la Ubingwa wa soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Challenge Cup).

    Katika Droo ya upangaji makundi mawili iliyofanyika jana mjini Nairobi, kundi la pili linajumuisha timu za Uganda, Zimbabwe, Burundi (Intamba Murugamba), Ethiopia na Sudan Kusini.

    Kwa mujibu wa ratiba ya michuano hiyo, wenyeji Kenya watacheza mechi ya ufunguzi Disemba 3 dhidi ya Rwanda na mechi ya fainali itafanyika Disemba 17.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako