• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Jambojet kununua ndege mbili desemba

    (GMT+08:00) 2017-11-17 18:52:33
    Ndege ya bei nafuu ya shirika la ndege la Kenya, Jambo jet linatarajia kupokea ndege mbili kwa gharama ya shilingi bilioni 6.6 kabla ya krismasi mwaka huu.

    Ndege ya kwanza aina ya Bombardier Q400 inatarajiwa kuwasili desemba 11 na ya pili kuwasili tarehe 17.

    Mwezi Mei Jambojet ilipata idhini ya kuhudumu katika maeneo 16 ikiwemo Entebbe, Addis Ababa, Dar es Salaam, Zanzibar, Kilimanjaro, Mwanza, Kigali, Juba, Bujumbura, Hargeisa, Mogadishu, Goma, Kisangani na Moroni.

    Mkurungezi wa Jambojet Willem Hondius amsema ndege hizo mbili mpya zitawasaidia kutekeleza mikakati yao ya oparesheni.

    Jambojet, ilianza oparesheni mwaka 2014 na sasa ina ndege nne zinazohudumu katika maeneo sita nchini Kenya kama vile Nairobi, Mombasa, Eldoret, Kisumu, Lamu, Malindi na Ukunda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako