• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping asema uhusiano kati ya China na Panama umefungua ukurasa mpya

    (GMT+08:00) 2017-11-18 17:16:32

    Rais Xi Jinping wa China jana amefanya mazungumzo na rais Juan Carlos Varela wa Panama ambaye yuko ziarani nchini Chinana kusema uhusiano kati ya nchi hizo mbili umefungua ukurasa mpya.

    Hii ni mara ya kwanza kwa rais Varela kufanya ziara ya kitaifa nchini China baada ya nchi hizo mbili kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia mwezi Juni.

    Rais Xi Jinping amesema, wananchi wa China na Panama wamefanya mawasiliano ya kirafiki kwa miaka zaidi ya 160, na nchi hizo mbili zimeanzisha uhusiano wa kidiplomasia kwa msingi wa kuwepo kwa China moja tu, hii inaendana na maslahi ya wananchi wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako