• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafamilia 11 wauawa kwenye shambulizi la anga kaskazini mwa Yemen

    (GMT+08:00) 2017-11-20 09:02:24

    Jumla ya watoto wanane na wanawake watatu wameuawa baada ya shambulizi la anga lililoongozwa na Saudi Arabia kuharibu nyumba ya familia moja katika jimbo la Jawf kaskazini mwa Yemen. Wanaharakati kutoka jimbo hilo wamethibitisha idadi ya wahanga kwenye shambulizi hilo, ambalo ni jipya kati ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na muungano unaoongozwa na Saudi Arabia, tangu vita ianze miaka miwili na nusu iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako