• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali Kombe la CAF, TP Mazembe washinda mechi ya kwanza

    (GMT+08:00) 2017-11-20 10:11:18
    Ikiwa nyumbani mjini Lubumbashi, klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokasia ya Kongo jana imeifunga Supersport United ya Afrika Kusini magoli 2-1 kwenye mechi ya kwanza ya fainali.

    Magoli mawili ya Mazembe ambao ndiyo mabingwa watetezi wa kombe hilo, yamefungwa na Adama Traore na Daniel Nii Adjei.

    Lakini goli moja la kwa Supersport United lilifungwa na Sipho Mbule katika dakika arobaini na saba likiwa lenye umuhimu zaidi kuelekea mechi ya marudiano itakayoamua bingwa.

    Mechi ya pili itafanyika Novemba 25 mjini Pretoria nchini Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako