• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sunderland yamthibitisha Chris Coleman kuwa Kocha mpya

    (GMT+08:00) 2017-11-20 10:11:36
    Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Wales Chris Coleman amathibitishwa na klabu ya Sunderland kuwa kocha mpya wa timu hiyo.

    Coleman amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu na klabu hiyo iliyoshuka daraja la ligi kuu nchini Uingereza msimu uliopita.

    Hii si mara ya kwanza kwa Coleman kufundisha klabu za Uingereza kwakuwa tayari alikwisha kufundisha timu ya Fulham ikiwa ligi kuu nchini Uingereza mwaka 2003-2007.

    Licha ya Wales Kumsihi asiondoke, beki huyo wa zamani timu ya taifa alilisitiza kuwa ataondoka kwa kuwa ameshindwa kufuzu kombe la dunia na timu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako