• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya Mpira wa Kikapu Kenya

    (GMT+08:00) 2017-11-21 09:13:31
    Mabingwa wa zamani ligi kuu ya kikapu nchini Kenya Ulinzi Warriors wamekuwa timu ya kwanza kufu hatua mtoano baada ya kuifunga Thunder kwa pointi 75-46 kwenye mechi ya pili ikwa ni ushindi wa pili mfululizo.

    Ulinzi ambao wanasaka taji hilo kwa mara ya nane sasa, waliongozwa na Eric Mutoro ambaye alifunga alama 28 peke yake katika mchezo wa pili licha ya umahiri wa wachezaji wa Thunder wakiongozwa na Griffins Ligare na Jack Arum.

    Msimu uliopita, Ulinzi walivuliwa ubingwa na KPA katika mechi ya mtoano.

    Na kwa upande wa wanawake timu ya Co-op Bank iliifunga timu ya Chuo Kikuu cha Zetech kwa pointi 53-47 na kufuzu kwa ushindi wa jumla wa mechi 2-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako