• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu ya WestBrom Albion yamfukuza kocha wake

    (GMT+08:00) 2017-11-21 09:13:50
    Klabu ya Westbrom Albion imemfukuza kazi Kocha wake Tony Pulis kwa kufuatia matokeo mabaya ya timu, ikiwa ni miaka mitatu tangu achukue mikoba hiyo.

    Tangu kuanza kwa msimu Westbrom wamevuna pointi 10 tu katika mechi 12 walizocheza na wanashika nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi kuu.

    Mwenyekiti wa timu hiyo John Williams amesema kwa kipindi cha mpito timu hiyo itaongozwa na kocha msaidizi Gery Megson.

    Pulis anakuwa kocha wa tano kufuzwa tangu kuunza kwa msimu huu baada ya Frank De Boer wa Crystal Palace, Craig Shakespeare wa Leceister City, Ronald Coeman wa Everton na Salven Bilic wa West Ham.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako