• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wakulima wa chai watuzwa Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-11-21 18:41:58

    Halmashauri ya kuuza bidhaa za kilimo nchini Rwanda imeyatuza makampuni na wakulima wa chai wenye bidhaa na kilimo bora.

    Miongoni mwa kampuni zilizozawadiwa ni pamoja na Sorwathe, Shagasha, Nyabihu na Mata kwenye hafla ya kuzinduliwa kwa sura mpya ya chai ya nchi.

    Akizungumza wakati wa hafla hiyo mkurungezi wa halmashauri hiyo balozi George William Kayonga, amesema tuzo hizo zinawatambua wakulima na wadau wote waliochangia kuboresha chai.

    Halmashauri hiyo inalenga uuzaji nje wa chai kufikia dola milioni 94.9 mwaka 2018 kutoka dola milioni 65.7 za mwaka 2013.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako