• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mafunzo ya walimu wa waamuzi wa soka Afrika

    (GMT+08:00) 2017-11-22 10:27:29
    Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA, jana limefungua mafunzo kwa ajili ya walimu wa waamuzi wa soka kutoka mataifa ya Afrika yenye lengo la kuwapa mbinu za kuwaandaa waamuzi kwa ajili ya mashindano ya kimataifa ikiwemo kombe la dunia.

    Kozi hiyo inayofanyika nchini Dar es Salaam nchini Tanzania, itaongozwa na wakufunzi wa FIFA Carlos Henriques na Dominic Chiellens, ambapo ina jumla ya washiriki 58 kutoka mataifa ya 26 barani Afrika.

    Hii ni awamu ya tatu FIFA kuandaa mafunzo hayo kwa ajili ya Afrika yakitarajiwa kufanyika kwa wiki moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako