• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pambano la kimataifa la ndondi, Anthony Joshua na Joseph Parker

    (GMT+08:00) 2017-11-23 13:31:10
    Kwenye upande wa masumbwi, promota wa kimataifa Eddie Hearn, amesema mazungumzo kuhusu pambano la uzito wa juu baina bondia Anthony Joshua wa Uingereza, na Joseph Parker wa New Zealand yamefikia hatua nzuri baada ya pande zote kuafiki mgawo wa asilimia 65-35 ili kupigana.

    Promota huyo amesema tarehe rasmi na mahala pa pambano, vitatangazwa mara baada ya upande wa Parker utakapotoa masharti yake na kuweka wazi kalenda.

    Lakini mabondia wote wameendelea na mazoezi kujifua, bila kuacha kutambiana kutokana na rekodi zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako