• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali kuu ya Tennis ya kimataifa

    (GMT+08:00) 2017-11-23 13:32:07

    Kuelekea fainali kuu ya mashindano ya kimataifa ya Tennis duniani maarufu kama Davis Cup, yanayofanyika mwishoni mwa juma hili, nahodha wa timu ya taifa ya Ubeligiji amewatoa wasiwasi mashabiki wake kuwa, kamwe maumivu ya goti aliyonayo yasababishwa kufungwa na timu ya taifa ya Ufaransa.

    Mchezaji huyo ambaye ni namba saba kwa ubora duniani amefanikiwa kuivusha Ubeligiji hadi hatua ya fainali akishirikiana na Steve Darcis, Ruben Bemelmans, na Arthur De Greef.

    Timu ya Ufaransa inaundwa na Jo Wilfried Tsonga, Lucas Puwii, Pierre Herbert, na Nikola Mahut, na fainali hiyo itapigwa mjini Lille nchini Ufaransa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako