• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Meli ya hospitali ya jeshi la majini la China Peace Ark yaaga Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-11-27 09:59:36

    Rais John Magufuli wa Tanzania ametoa shukrani kwa madaktari wa China waliotoa huduma za matibabu kwa wagonjwa zaidi ya elfu 6 kwenye meli ya hospitali ya jeshi la majini la China Peace Ark katika ziara ya siku nane zilizopita huko Dar es Salaam.

    Rais Magufuli ametembelea meli hiyo kuwaaga madaktari wa China na wanajeshi wa meli hiyo.

    Meli hiyo iliwasili Dar es Salaam Novemba 19, ikiwa ni mara ya pili kwa meli hiyo kufanya ziara ya kibinadamu na kutoa matibabu ya bila malipo kwa wakazi wa huko katika miaka saba iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako