• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • APR ndiyo Mabingwa wa Marathon Rwanda.

    (GMT+08:00) 2017-11-27 10:16:54
    Wakimbiaji kutoka timu ya riadha ya APR Salome Nyirarukundo na Noel Hitimana wameshinda mbio za Run Blue Half Marathon zilizofanyika jana mjini Kigali nchini Rwanda.

    Salome alishinda kwa upande wa wanawake baada ya kutumia saa 1 na dakika 12 katika umbali wa kilomita 21, na hitimana akitumia saa 1 na dakika 5 kushinda upande wa wanaume katika umbali huo huo.

    Mpaka sasa Nyirarukundo na Hitimana, ndiyo wakimbiaji wenye rekodi za juu nchini Rwanda na wakiwahi kuiwakilisha vyema nchi hiyo kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako