• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  •  Ligi ya mchezo wa Raga Uganda

    (GMT+08:00) 2017-11-27 10:19:55
    Timu ya Buzz Pirates imefanikiwa kuwafunga mabingwa wa mchezo wa raga nchini Uganda Hima Heathens kwa ushindi wa 23-16 katika mfululizo wa mechi za ligi ya ukanda maalum wa Nile.

    Huu ni ushindi wa tatu kwa Pirates katika mikutano ya hivi karibuni na Heathens jambo ambalo linaleta matumaini makubwa katika kuondoa udhaifu wa muda mrefu inapokutana na timu zenye uwezo wa hali ya juu.

    Matokeo ya mechi zingine ni kwamba, Jinja Hippos wameshindwa 14-71 na Betway Kobs, Warriors wakifungwa na 07-29 Plascon Mongers, Impis wakilala 06-59 dhidi ya Rimula Rhinos na Toyota Buffaloes wakishinda 26-09 dhidi ya Rams.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako