• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lewis akiri ubingwa wake kuathiri matokeo ya mwisho

    (GMT+08:00) 2017-11-27 10:20:57
    Dereva Lewis Hamilton wa timu ya Mercedes amejitetea kuwa kitendo cha yeye kutangazwa mapema kuwa bingwa mpya wa msimu huu wakati bado mashindano yanaendelea kumeathiri matokeo yake katika mbio tatu za mwisho kwa kuwa alishiriki akiwa hana presha.

    Hamilton ameshindwa kutamba katika mbio za langalanga za Mexico, Brazil na Abu-dhabi licha ya kuwa hakuna dereva ambaye angeweza kufikia alama 363 alizopata msimu huu.

    Akizungumza baada ya kushika nafasi ya pili nyuma Valtteri Botas jana mjini Abu Dhabi nchini Umoja wa Falme za Kiarabu, Lewis amesema anakubali kasoro hiyo lakini akisema hii haitatokea tena msimu katika misimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako