• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Muungano wa kijeshi wa nchi za kiislam wa kupambana na ugaidi wafanya mkutano wa kwanza wa mawaziri wa ulinzi

  (GMT+08:00) 2017-11-27 19:36:22

  Muungano wa kijeshi wa nchi za kiislam wa kupambana na ugaidi jana umefanya mkutano wa kwanza wa mawaziri wa ulinzi huko Riyadh nchini Saudi Arabia.

  Muungano huo ulioanzishwa mwaka 2015 kutokana na pendekezo la Mrithi ufalme wa Saudi Arabia ambaye pia ni naibu waziri mkuu na waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Mohammed bin Salman, unalenga kupambana na ugaidi.

  Saudi Arabia imesema, nchi wanachama wa muungano huo zimekubali kufanya ushirikiano kwa kupambana na kuangamiza ugaidi na magaidi, na kutoa misaada kwa washirika wake kwa njia ya kijeshi na kifedha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako