• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Kenya aapishwa kwa muhula wa pili wa urais

  (GMT+08:00) 2017-11-28 19:08:13

  Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta ameapishwa leo kuendelea kuiongoza nchi hiyo katika muhula wake wa pili madarakani katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi na kuhudhuriwa na wageni kutoka nchi za nje na maelfu ya wafuasi wake.

  Rais Kenyatta ameapishwa baada ya ushindi aliopata kwenye marudio ya uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 26.

  Hali ya usalama iliimarishwa ndani na nje ya uwanja huo, huku maofisa wa kijeshi wenye silaha nzito wakilinda eneo hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako