• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais mpya wa Zimbabwe kuunda baraza dogo la mawaziri

  (GMT+08:00) 2017-11-29 18:54:06

  Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ametangaza kuwa ataunda baraza dogo la mawaziri.

  Akikutana na makatibu wakuu wa wizara, Bw. Mnangagwa amesema anatarajia kuwa serikali yake mpya itafanya kazi kwa bidii na kwa ufanisi mkubwa.

  Amesema serikali yake haitakuwa na uvumilivu kwa urasimu ambao utakwamisha utoaji wa huduma kwa wananchi, wawekezaji, na wadau wengine.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako