• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaahidi kuimarisha uhusiano na serikali mpya ya Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2017-11-30 10:32:57

    China imetangaza kuiunga mkono serikali mpya ya Zimbabwe na kuahidi kuwa itaimarisha uhusiano kati yake na Zimbabwe.

    Mjumbe maalum wa Rais wa China na msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Chen Xiaodong ambaye yuko ziarani nchini Zimbabwe, amewaambia waandishi wa habari baada ya kukutana na Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, kuwa China itaendelea kuunga mkono njia ya Zimbabwe ya kujiendeleza, na rais Xi amemwalika Rais Mnangagwa kuitembelea China.

    Rais Mnangagwa amesema China itakuwa nchi ya kwanza atakayoitembelea nje ya Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako