• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Jubilee Raphael Tuju aeleza matumaini ya kuiga uzoefu wa ujenzi wa chama cha siasa kutoka CCP

    (GMT+08:00) 2017-12-03 16:48:01

    Katibu mkuu wa chama tawala cha Jubilee nchini Kenya Bw. Raphael Tuju jana hapa Beijing amesema, China imetoa misaada mingi kwa Kenya katika kutimiza lengo la maendeleo ya viwanda, na chama cha Jubilee kinataka kuiga uzoefu wa ujenzi wa chama cha siasa kutoka kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, ili kuongoza Kenya kupata maendeleo ya kasi zaidi.

    Bw. Tuju amesema, chama cha Jubilee cha Kenya kinapenda kujifunza kutoka CPC kuhusu namna ya kubadilisha mawazo, na kutunga mpango wa maendeleo ya muda mrefu na ya katikati, ili kukabiliana na masuala mapya na changamoto mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako