• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yatuma maofisa wa jeshi na polisi nchini Tanzania kwa ajili ya luteka ya kikanda

    (GMT+08:00) 2017-12-03 16:48:32

    Zaidi ya maofisa 40 wa jeshi na polisi nchini Uganda wamekwenda Tanzania na kushiriki kwenye luteka ya wiki mbili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, kuhusu operesheni za kuunga mkono amani, mapambano dhidi ya ugaidi na usimamizi wa maafa.

    Maofisa wa jeshi na polisi na raia wapatao 240 zaidi kutoka Tanzania, Uganda, Brundi, Kenya, Rwanda na Sudan Kusini watashiriki kwenye luteka hiyo itakaofanyika kuanzia tarehe 4 hadi 12 mwezi huu. Na lengo la luteka hiyo ni kuongeza uwezo wa vikosi katika kukabiliana na hali ya kukosekana kwa utulivu na matishio ya kiusalama katika kanda hiyo na kuunga mkono amani ya dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako